Rapper Doctor Kanye west na mke wake star wa Tv reality show “Keeping up with the Kardashians”, Kim Kardashian west ni wapenzi wakubwa wa Fashion na kwa upande wao wameenda mbali zaidi kwa kuamua kumatch kila nguo zao wanapotoka pamoja, Tazama Picha..