Open top menu

Uongozi wa msanii wa rnb August Alsina kutoka Marekani umekanisha taarifa za msanii huyo kufanya kazi na rapa wa Kenya ‘Octopizzo’ kwenye wimbo wake mpya wa ‘Could Be Us’.
Uongozi wa Alsina uetoa taarifa hio via Twitter siku chache baada ya wimbo wa ‘Could Be Us’ kutoka

Written by zipsuit

.

.