Super Staa wa muziki kutoka Nigeria D’banj anatoa cd yake mpya ‘An Epic Journey’ kuadhimisha miaka yake kumi kwenye muziki.
D’Banj amethibitisha kuwa cd hii yenye nyimbo saba inatoka September 2015 na wameshirikishwa wakali kama Akon, Driis (Idris Elba), Shadow Boxxer, Cassper Nyovest, Reminisce, na Ice Prince.
D’Banj aka Koko Master anatarajiwa kufanya collabo na Beyonce muda wowote mwaka huu.