Jay Z kwenye track yake ya “somewhere in America” ambayo ipo kwenye Album yake ya ” Magna Carta Holy Grail” kuna msitari anaipondea Instagram, Anasema “I aint even into that/When I was talking Instagram, the last thing you wanted was your picture snapped.” Lakini baada ya kukaza kwa muda mrefu hatimaye Jigga amejiunga Instagram lakini tayari ameifuta Account hiyo.
Jana rapper huyo Jay Z alijiunga na mtandao wa Instagram kwa jina la“HovSince96″ baada ya dakika chache aliPost picha (Throw back) yake na Michael Jackson na kuandika “Happy Birthday to the King! This may be my first and last post.” Jana ilikua tarehe ya siku aliyozaliwa marehemu Michael Jackson ambapo angekua ametimiza miaka 57. Baada ya muda mfupi Jay Z aliifuta Account hiyo
Hii ndio picha aliyoipost