Kupitia instagram yake Peter wa P Square ameandika ujumbe kwa mashabiki wake kuhusu ajali hii nakusema “tulikuwa na meneja msaidizi wa P Square, Kaffy na Joseph Ameh tukitoka kwenye show , tulikuwa kwenye barabara ya Lagos Ibadan Expressway, lorry kubwa limegonga gari yetu na kutusukuma kwa sekunde kama 12 ila tumetoka salama, tuna mshukuru Mungu tumepona