JUX- VANESSA AMENIFANYA NIWAZE NDOA By zipsuitnews.com 1:21 AM Jux alisema hayo siku ya jana kwenye Kipindi cha “Ala za roho” cha Clouds Fm ambapo aliongeza kuwa Vanessa amembadilisha maisha yake kwa ujumla kiasi kwamba hata mziki wake umeanza kufanya vizuri nje ya nchi. Written by zipsuit