SHILOLE AAMUA KUMUWEKA NUH MZIWANDA MKONONI By zipsuitnews.com 4:36 AM Msanii wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake Shilole kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya yeye takriban mwaka mmoja uliopita. Written by zipsuit