Open top menu
FASHION ZAKIJANJATZ SHELIA NGOWI SUIT 12 SHELIA NGOWI SUIT TZ SHELIA NGOWI SUIT WEEK
Kwa mara ya kwanza AliKiba kamtaja mgombea Urais anaye anayempenda

Ni mwezi mmoja umebaki kufikia siku nyingine kubwa kwa Watanzania kupiga kura kumchagua Rais wanaemtaka, Wabunge pamoja na Madiwani kwenye Uchaguzi mkuu utakaofanyika October 25 2015.
Tayari mpaka sasa tumeona Mastaa mbalimbali wa Tanzania ambao hawajaficha hisia zao ni nani wanamkubali zaidi kwenye kumpa uongozi wa nchi na nafasi nyingine zinazogombaniwa.


Read more
MR BLUE APATA MTOTO WA PILI

Rapa Mr Blue na mpenzi wake wamebarikiwa kupata mtoto wa pili. Kwamujibu wa Instagram post ya Mr Blue, mtoto huyu ni wakike na amepewa jina Khairriya


Wahyda





Read more
SHILOLE AAMUA KUMUWEKA NUH MZIWANDA MKONONI

Msanii wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake Shilole kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya yeye takriban mwaka mmoja uliopita.



Read more
JUX- VANESSA AMENIFANYA NIWAZE NDOA

Jux alisema hayo siku ya jana kwenye Kipindi cha “Ala za roho” cha Clouds Fm ambapo aliongeza kuwa Vanessa amembadilisha maisha yake kwa ujumla kiasi kwamba hata mziki wake umeanza  kufanya vizuri nje ya nchi.

Read more
PETER WA P SQUARE NA MENEJA WAO MSAIDIZI WAPATA AJALI


Kupitia instagram yake Peter wa P Square ameandika ujumbe kwa mashabiki wake kuhusu ajali hii nakusema “tulikuwa na meneja msaidizi wa P Square, Kaffy na Joseph Ameh tukitoka kwenye show , tulikuwa kwenye barabara ya Lagos Ibadan Expressway, lorry kubwa limegonga gari yetu na kutusukuma kwa sekunde kama 12 ila tumetoka salama, tuna mshukuru Mungu tumepona


Read more
JAY Z AFUTA ACCOUNT YA INSTAGRAM BAADA YA KUPOST PICHA HII


Jay Z kwenye track yake ya “somewhere in America” ambayo ipo kwenye Album yake ya ” Magna Carta Holy Grail”  kuna msitari anaipondea Instagram, Anasema  “I aint even into that/When I was talking Instagram, the last thing you wanted was your picture snapped.”  Lakini baada ya kukaza kwa muda mrefu hatimaye Jigga amejiunga Instagram lakini tayari ameifuta Account hiyo.
Jana rapper huyo Jay Z alijiunga na mtandao wa Instagram kwa jina la“HovSince96″  baada ya dakika chache aliPost picha (Throw back) yake na Michael Jackson  na kuandika “Happy Birthday to the King! This may be my first and last post.”  Jana ilikua tarehe ya siku aliyozaliwa marehemu Michael Jackson ambapo angekua ametimiza miaka 57.  Baada ya muda mfupi Jay Z aliifuta Account hiyo

Hii ndio picha aliyoipost  



Read more

.

.